Welcome to St. Ann’s Primary & Secondary School

The School of Your Choice in Dar es Salaam Tanzania

St.Ann’s Secondary school is catholic institution established in the year 2009 and administered by the congregation of Catechist Sisters of St.Ann’s. The school has a team of committed, dynamic, efficient and qualified teachers, who lay strong foundation for a strong Nation. Besides academic excellence, the school gives importance to discipline and character and caters to the all development of the students in all aspects of life

TUNAWATANGAZIA NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA (FORM ONE) MWAKA 2026.

Mtihani Wa Kujiunga Na Kidato Cha Kwanza Mwaka 2026 Utafanyika Shuleni Na Msimbazi Centre Katika Shule Ya Montessori Tarehe 20/09/2025. Baada Ya Hapo Tutaendelea Kufanya Mitihani Ya Kujiunga Kila Jumamosi Hapa Shuleni.

NAFASI ZIPO KWA WANAOHAMIA KIDATO
CHA PILI NA KIDATO CHA TATU

• Ni Shule ya Bweni kwa Wasichana Tu.
• Ina Michepuo ya Sayansi, Sanaa na Biashara.
• Ni Shule Bora Kimadili Na Kinidhamu.
• Inaendeshwa Na Masista wa Shirika la Mt. Anna
Ni Kati Ya Shule Zinazofanya Vizuri Kitaifa.
• Shule Ipo Mbezi Luis- Barabara Ya Makabe.
• Ada yetu ni nafuu na inalipwa kwa awamu tatu
• Msimbazi Center Room No. 9,10,19,22,25

FORM IV & II NECTA RESULTS – 2024
———————————————

FORM IV
DIV I-31 / DIV II-16 / DIV III-0 / DIV IV-0

————————————-
FORM II
DIV I-31 / DIV II-16 / DIV III-0 / DIV IV-0

———————————————————————

PRE-FORM ONE COURSE

PRE FORM ONE COURSE ITAANZA
TAREHE: 01/10/2025 hadi 29/11/2025

Curriculum and Subjects Offered

Our school offers all basic subject combination for O-level which are:

English
Kiswahili
Mathematics
Biology
Chemistry
Physics
History
Geography
Civics
Bible Knowledge
Computer
Book Keeping
Commerce

120 +

Expert TEACHERS

550 +

FORM FOUR CANDIDATES

155 +

CLASSROOMS

25 +

STUDENT’S CLUBS

The General School’s Leadership

SR.MARY SLEEVAMMA METTU

SISTER LATHER

SISTER LAVANYA